TCRA YAZIFUNGIA NYIMBO 15 ZA WASANII
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepokea list ya nyimbo 15 zisizokuwa na maadili kutoka kwa Baraza la Sanaa Taifa (BASATA).
Nyimbo hizo ziliachiwa na wasanii katika vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii bila kupitishwa katika mamlaka husika kwaajili ya kuzikagua na baadaye kuiachia zipigwe.
No comments