Heade

VIONGOZI KUTOKA MATAIFA 12 YA AFRIKA WATARAJIA KUKUTANA NCHINI CONGO

Viongozi kutoka mataifa 12 ya Bara la Afrika wanatarajiwa kukutana katika mji mkuu wa Congo Brazzaville kwa mkutano wa siku mbili utakaoangazia masuala tata yanayoigubika bara la Afrika.
Mkutano huo wa kimataifa katika eneo la maziwa makuu utazungumzia migogoro kadhaa ikiwemo ile ya Taifa jamhuri ya Afrika ya kati ,Sudan kusini,Burundi na jamhuri ya kidemokrasia ya Congo .

Mkutano huo utawakutanisha viongozi  wa kisiasa kutoka Angola ,Burundi ,jamhuri ya Afrika ya kati,Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,Kenya, Rwanda ,Sudan,Sudan kusini ,Zambia ,Uganda na Tanzania.

No comments

Powered by Blogger.