RAIS WA SOMALIA ATANGAZA VITA DHIDI YA KUNDI LA KIGAIDI LA AL-SHABAB
Rais wa Somalia Mohamed Abdullahi Mohamed ametangaza vita dhidi ya kundi la kigaidi la Al shabab.
Rais Mohamed ametoa kauli hiyo baada ya kuongoza maandamano ya maelfu ya watu mjini Mogadishu kulaani shambulizi lililotokea wiki iliyopita na kusababisha vifo vya watu 276 na wengine kujeruhiwa.
Hadi sasa hakuna kundi lililojitokeza kusema lililtekekeza shambulizi hilo baya katika historia ya Somalia.
No comments