Heade

RAISI MAGUFULI AMEPOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI .

Rais wa Jamuhuri wa muungano wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli amepokea hati za utambulisho za mabalozi watatu waliopangiwa kuziwasilisha nchi za Oman,Uholanzi na China hapa nchini.
Waliowasilisha hati zao ikulu jijijni Dar es salaam ni Mhe.Abdullah Al Marhruqi balozi wa Oman hapa nchini, Mhe.Jeroen Verheul balozi wa Uholanzi hapa nchini na Mhe. Wang Ke balozi wa China hapa nchini.

Mhe. Rais amewap[ongeza mabalozi hao kwa kuteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini na amewahakikishia kuwa serikali yake itafanya nao kazi kwa ukaribu ili kuendeleza na kukuza zaidi ushirikiano kati ya nchi hizo na Tanzania hususan katika uchumi.

No comments

Powered by Blogger.