ADHABU MPYA YATOLEWA KWA MADEREVA WANAOTUMIA VILEVYA NCHINI KENYA
Mamlaka ya usalama wa uchukuzi nchini Kenya NTSA imependekeza adhabu mpya kwa
madereva watakao bainika kutumia vilevya wakati wa kazi .
Mamlaka hiyo imesema kuwa madereva watakao bainika kuwa wamelewa wakati
wakiwa kazini watalazimika kufanya kazi katika vyumba vya kuhifadhia maiti ili
kupunguza ajali za barabarani.
Mkurugenzi wa mamlaka hiyo Bw.Francis Meja amesema hawawezi kuvumilia
madereva walevi wanao sababisha ajali na wanapo fikishwa mahakamani wanapewa
adhabu hafifu.
No comments