AIBUKA TENA BAADA YA KURIPOTIWA KUFARIKI DUNIA MIEZI SITA ILIYOPITA
Mtu mmoja ambaye anajulikana kwa jina la chausiku miligo ambaye alisadikika
kufariki miezi6 iliyopita ameonekana akiwa hai mtaani kwake hali iliyo zua
taharuki kwa familia yake na wananchi.
Akiongea na waandishi wa habari mwenye kiti wa mtaa wa mbugani bwana chales
michael amesema kuwa chausiku aliugua
ghafra akiwa mjamzito nakupelekwa hospital ya mkoa seketure ambapo baada ya
muda mfupi alifariki dunia .
bi chausiku baada ya kuhojiwa na
waandishi wa habari amesema kuwa alikuwa mkoani simiyu wilaya ya bariadi ambapo
amemucha mtoto wake wa kiume.
No comments