MAMIA YA WANANCHI WAMEVAMIA SHAMBA LA GRACE MUGABE
Mamia ya
wananchi kutoka katika kijiji cha mazowe nchini Zimbabwe wamelivamia shamba la
Grace Mugabe kusheherekea kung’atuliwa mamlakani kiongozi huyo huku wakidai
kuwa aliwanyanyasa na kuwafanya kuwa maskini kwa lengo la kuimarisha mali ya
familia yake.
Wanakijiji
wa mazowe wamekuwa katika mgogoro na kuzozana na familiya ya Mugabe kuhusu
shamba la Arnold katika kijiji cha mazowe katika hatua hiyo wanadai kuwa wanaonyesha
asante kwa wale waliofanikiwa kumng’oa Mugabe madarakani.
Robert
Mugabe alijiuzulu siku ya jumanne hatua iliyozua kuendelea kwa sherehe kubwa
miongoni mwa raia wa Taifa hilo
No comments