Heade

MAREKANI IMETANGAZA MASHARTI MAPYA YENYE NGUVU

Serikali ya Marekani imetangaza masharti mapya yenye nguvu zaidi yatakayoweka ugumu wa wamarekani kuitembelea Cuba na kufanya biashara nchini humo
Ikulu ya Marekani imesema sheria mpya zilizowekwa zinalenga kuzuia wanajeshi  na wana usalama kunufaika na utalii pamoja na biasharara kutoka Marekani ambapo masharti hayo yanahusisha marufuku juu ya wamarekani kutumia makampuni 180 ikiwemo hotel za serikali na maduka yanayohudumia wanajeshi

Masharti hayo pia yanawataka raia wa Marekani wanapotaka kusafiri nchini Cuba wathibitishe kwenye kampuni moja ya nchi hiyo inayohusika na masuala ya safari.

No comments

Powered by Blogger.