MAWAZIRI WANNE WAWEKWA KIZUIZINI
Raia wa jimbo la Catalonia wanaotaka kujitenga wameandamana nje ya jengo la bunge la jimbo hilo mjini Barcelona baada ya jaji mjini madrid kuwaweka kizuizini mawaziri wanne waserikali ya jimbo la Catalonia
Hadi sasa jumla ya wanasiasa kumi wa catalonia wamewekwa kizuizini nchi ispania wakiwemo viongozi wawili wakitamaduni , jaji karmen Lamela amesema kuwa aliamua kuwaweka kizuizini viongozi wanane kwa kuhofia kuwa wanaweza kutorokea nje ya nchi ama kuharibu ushahidi.
Awali msichana huyo mwenye umri wa miaka 10 aliwaambia maafisa wa polisi na wanaharakati wa maslai ya watoto kuwa alibakwa mara kadhaa katika kipindi cha miezi saba iliyopita na mjomba wake mkubwa mwenye umri wa miaka 40
No comments