WANACHAMA WA REPUBLIKAN WAJA NA MPANGO WA MAREKEBISHO YA KODI
Wanachama wa republikan nchini marekani wamebaini mpango wa marekebisho ya kodi kubwa kwa kipindi cha miaka 30 ijayo.
marekebisho hayo ya kodi yamepew kipaumbele katika ajenda za rais wa marekani Donald Trump, mapendekezo yaliyo tolewa ni pamoja na kupunguza kodi katika biashara kutoka asilimia 35 hadi asilimia 20 na kupandisha posho binafsi ya kodi.
aidha marekebisho mengine nikuondoa viwango vya kodi katika magari yanayo tumia mfumo wa umeme. mpango huu wa Repablikani unapaswa kuidhinishwa na bunge la kongres unatarajiwa kuongeza kwa kiasi kikubwa deni la taifa.
No comments