Heade

WAHUKUMIWA KIFUNGO JELA KWA KUMBAKA MSICHANA WA MIAKA KUMI(10)

Mahakama moja nchini india imewahukumu watu wawili kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mpwa wao mwenye umri wa miaka 10 ambaye alijifungua mtoto wa kike,
wanaume hao wote wawili walikuwa wajomba wa msichana huyo ambapo mjomba wake wa pili alikamatwa baada ya chembechembe za DNA za mtoto huyo kutofanna na kaka yake mkubwa ambaye ndiye mshukiwa wa kwanza.

Mahakama ya juu ya india ilikataa kutolewa kwa ujauzito huo baada ya jopo la madaktari kudhibitisha kuwa kutolewa kwa ujauzito huo ni hatari wakati huo huo sheria ya india inakataza kutolewa kwa mimba baada ya wiki 20 hadi pale daktari atakapo dhitisha kutokuwepo kwa hatari.

No comments

Powered by Blogger.