Heade

MKUFU WA ALMAS DUNIANI WAUZWA DOLA M.33.7 GENEVA

Mkufu wa almasi wa karati 163 ambao ni mkubwa zaidi kushuhudiwa na wa aina yake kuuzwa ,umeuzwa dola milioni 33.7 kwenye  mndada mjini Geneva.
Mkufu huo umeuzwa katika hotel ya Four Sizons mjini Geneva baada ya kuwekwa kwenye maonyesho huko Hong Kong, London, Dubai na baadaye New York.

Taarifa zinasema mkufu huo ulichongwa kutoka kwa almasi ya karati 404 iliyopatikana nchini Angola.

No comments

Powered by Blogger.