Usiku wa kuamkia leo Jumatano Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk Steven
Kebwe amepata ajali katikati ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi baada ya gari
lake kugonga nyati na kuharibika vibaya.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Urlich Matei amethibitisha
kutokea kwa ajali hiyo na kueleza kuwa taarifa kamili ataitoa mara baada
ya uchunguzi kukamilika.
Ndani ya gari hilo mbali na kuwepo mkuu wa
mkoa pia aliambatana na mlinzi wake ambao wote kwa pamoja walitoka
salama
No comments