Heade

MUGABE APEWA SIKUKUU YA TAIFA ZIMBABWE

Serikali ya Zimbabwe imetangaza siku kuu mpya ya kukumbuka   mchango wa Robert Mugabe ambaye aliondolewa madarakani wiki iliyopita ambapo sikukuu hiyo itakuwa ikiadhimishwa siku ya kuzaliwa kwa Bw Mugabe kila mwa

Tangazo hilo lilichapishwa Ijumaa - siku ambayo Rais Emmerson Mnangagwa aliapishwa kuwa rais, na kufikisha kikomo uongozi wa Mugabe wa miaka 37.

Serikali ya Bw Mugabe  imeamua kutangaza siku ya kuzaliwa kwake kuwa sikukuu ya taifa mwezi Agosti, baada ya kampeni kutoka kwa mrengo wa vijana katika chama cha Zanu-PF.

No comments

Powered by Blogger.