Heade

PUIGDEMONT KURUDISHWA NCHINI UHISPANIA

Wakili wa aliyekuwa kiongozi wa jimbo la Catalonia Carles Puigdemont ameiambia televisheni ya nchini Ubelgiji kwamba hakimu wa Uhispania ametoa waranti wa kuwezesha kukamatwa kwa mteja wake Puigdemont popote pale barani Ulaya. 
Puigdemont aliyevuliwa madaraka ya urais na serikali ya Uhispania  kwa sasa yuko nchini Ubelgiji anapinga hatua ya kurudishwa nchini Uhispania 
Wakili Bekaert  amesema kwamba kutolewa kwa waranti huo kutaiwezesha mahakama ya Uhispania kutoa maombi kwa waendesha mashtaka wa nchini Ubelgiji ili kumrudisha Puigdemont nchini Uhispania.

No comments

Powered by Blogger.