RAIS TRUMP AFANYA ZIARA KOREA YA KUSINI
Rais wa marekani Donald Trump
amewasili korea ya kusini ikiwa ni sehemu ya ziara yake mashariki mwa Asia.
katika ziara hiyo Trump amemueleza rais
wa korea ya kusini Moon Jae-in kuwa kwake na kwa nchi ya marekani ni mtu
mwema na hivyo watafanya kazi pamoja ili kushughurikia kitisho cha nyuklia
kutoka korea kaskazini kwa nguvu ya pamoja.
Aidha awali rais huyo wa marekani
alieleza mbinu ya moon jae in ambayo ni
mbinu shikishi dhi ya korea kaskazini kama ya makubaliano na kwamba raia wa
korea kusi walikuwa na wasi wasi na kauili za mabavu za rais Trump kuwa
zingeweza kuifanya korea kaskazin ichukue hatua za kijeshi katika eneo hilo la
ras.
No comments