WATU ZAIDI YA 3500 WAONDOLEWA KATIKA JUMBA LA MAIGIZO,KITUO CHA BIASHARA NA HOTELI YA METROPOL MJINI MOSCOW
Watu zaidi ya 3500 wameondolewa katika jumba la maigizo la Balkoi mjini
moscow, kituo cha biashara na hoteli ya metropol baada ya irani ya bomu
kutolewa .
kikosi cha usalama mjini moscow
kimetoa taarifa baada kupokea
taarifa za kutegwa bomu eneo hilo. Baada
ya taarifa hiyo kutolewa imesababisha hofu kubwa kwa raia jambo lililo pelekea
kuondolewa kwa watu katika maeneo hayo.
Aidha
taadhari ya bomu katika maeneo zaidi ya 20 ilitolewa mjini moscow suala ambalo limepelekea maafsa wa usala
nchini humo kufany a kazi kwa taadhari kubwa
No comments