Heade

RUSHWA YAWAFUKUZISHA KAZI WATUMISHI 71

Serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania imewafukuza kazi watumishi 71 huku wengine 7 wakichunguzwa  kwa tuhuma za rushwa na wengine 3 riporti zao zikiwa Takukuru. na wawili kati yao wamekwisha fikishwa mahakami 
Mtendaji mkuu wa wakala wa barabara tanzania tanroad mhandisi Patriki Mfugale amethibitisha hilo na kusema watumishi hao ni wale ambao walikuwa wakihudumu katika mizani mbali mbali nchini , ambo wamekiuka taratibu za kazi .

aidha amesema idadi hiyo ni ya tangu january 2017 mpaka octoba mwaka huu.  huku akitoa wito kwa watumishi wa vituo vya kupimia magari (MIZANI) kuachana na tabia za kupokea rushwa jambo amblo limekuwa ni chanzo kikubwa cha uharibifu wa barabara.

No comments

Powered by Blogger.