SERIKALI YA SAUD ARABIA YALALAMIKIA KITENDO KILICHOFANYWA NA IRAN
Jeshi la la ushirika linalo ongozwa na saudi arabia nchini Yemeni limesema kuwa makombora yanayotumiwa na
wanamgambo wa Houthis kutoka nchini Irani nitishio kwa saud arabia.
Serikali ya Saud Arabia imesema kuwa kitendo hicho cha irani ni ukiukwaji
mkubwa wa sheria na ni tishio kubwa la moja kwa moja linalo lenga ardhi ya
Saud Arabia huku ikisema taifa lao lina heshimu sheria za kimataifa kwa hiyo wao kuijibu nchi hiyo
kijeshi haitakuwa jambo la busara.
Aidha siku mbili zilizo pita kundi la Anar Allah lilirusha makombora katika
uawanja wa ndege wa Mji mkuu wa nchi hiyo Riyadhi jambo ambalo lilitafsiriwa na
serikali ya ya nchi hiyo kama dharau
zilizo pita kiasi.
No comments