SHULE YA MSINGI KIPANGA YAPOKEA MSAADA WA MABATI 60
Naibu waziri wa malisili na utalii mh Jafeti Masunga kupitia wizara yake
wametoa msaada wa mabati 60 kwa ajili ya kuezekea madarasa ya shule ya msingi
kipanga iliyoko kijiji cha ubwachana wilayani iringa mkoa wa iringa.
shule hiyo ya msingi iliezuliwa na upepo wa kimbunga na wiki mbili zilizo
pita katokana na mvua zinazo endelea kunyesha maeneo mbalimbali ya nchi.
akikabidhi mabati hayo mh masunga amesema serikali inatambua mchango wa
wananchi wanao ishi jirani na maeneo ya hifadhi kwenye uifadhi shirikishi hivyo
nijukumu la serikali kuwaunga mkono pale wanapopatwa na majanga mbalimbali.
No comments