Heade

WATAKIWA KUIPIGA CHAPA MIFUGO

Waziri wa mifugo na uvuvi mh Luhaga Mpina amewataka wafugaji nchini kumuamini kama wazri mwenye dhamana ya kushughurikia kero mbalimbali zinazo wakabili na kurudisha nyuma maendeleo kwenye sekta hiyo.
ameyasema hayo akiwa  katerero mkoani Kagera wakati akishiriki zoezi la kupiga chapa mifugo, ambapo amewataka viongozi kuzingatia maadili katika zoezi hilo ili kujiepusha na hujuma na ubaguzi kwa wafugaji.

Aidha amewataka wafugaji kuendelea kujitokeza kwa wingi kupeleka mifugo yao kupiga chapa kwa kuwa zoezi hilo nila manufaa na faida kwa wafugaji kwani litawasaidia kuepuka maambukizi ya magonjwa kwa mifugo yao kutokuchanganyika na mifugo mingine 

No comments

Powered by Blogger.