Heade

DHORUBA YAPIGA UHOLANZI WATU WATATU WAPOTEZA MAISHA


Dhoruba kali ilipiga nchini Uholanzi leo Alhamisi, na kusababisha vifo vya watu watatu, huku safari za ndege zikifutwa. Watu walitakiwa kubaki nyumbani.po mkali unaokwenda kilomita 140 kwa saa uling'oa miti ku na kuharibu magari
  l

Upepo mkali unaokwenda kilomita 140 kwa saa uling'oa miti ku na kuharibu magari
Watu watatu waliuawa kwa kuangukiwa na miti vitu vizito, polisi imesema.
Safari za ndege kuwasili au kutoka kwenye uwanja wa ndege wa Amsterdam-Schiphol zimesimamishwa kwa muda mfupi. Ndege zisizopungua 260 zililazimishwa kufuta zafari.
Dhoruba hii pia ilizorotesha usafiri kwa kutumia reli na barabara.
Nchini Ujerumani, shirika la reli la Deutsche Bahn imesimamisha safari zake zote katika eneo la Land Kaskazini mwa Westphalia, eneo lenye watu wengi zaidi nchini.

No comments

Powered by Blogger.